Kivulini Plaza, Mbezi Beach

Kitchen Slayers

Buffet ya moto, grill ya jioni na Mary Bonge ambayo kila mtu anaiongelea. Njoo na familia.

Shuka chini, tuingie ndani

Mlango uko wazi

Karibu
Kitchen Slayers.

Kila siku kuanzia saa 6 mchana mpaka saa 3 usiku. Huna haja ya kubook, njoo tu.

Kwenye uwanja

Taa elfu
juu ya kichwa.

Meza za mbao, anga la taa ndogo, na harufu ya pilau ikitoka jikoni.

Umeshaona ndani

Meza yako
iko tayari.

Sogeza kipanya kuangalia pembeni. Bonyeza sahani kuiona.Telezesha kidole pembeni kuangalia. Gusa sahani.

Sherehe, kikao, birthday

Hifadhi meza.

Tuambie siku, saa na idadi ya watu. Tutakuthibitishia kwa WhatsApp ndani ya dakika chache.

Kwa kundi lako

Tengeneza
sinia lako.

Chagua wali, kitoweo na ziada. Bei inajihesabu yenyewe, kisha tuma oda kwa WhatsApp.

1. Wali
2. Kitoweo
3. Ziada
4. Mko wangapi?
4
5. Tukuletee wapi?
JumlaTSh 0

Au tuma kwa WhatsApp
Ndani ya Kitchen Slayers
Ukumbi, saa 1 usiku.

Ukumbi

Si mgahawa tu.
Ni kijiwe.

Uwanja wa wazi chini ya anga la taa, ukumbi wenye paa la mbao, na meza ndefu za familia nzima. Mahali ambapo watu wa Dar hukutana kula, na kukaa.

4.6kwenye Google
29Kwanatufuata Instagram
7/7tuko wazi
Kitchen Slayers kwa nje
Uwanja, mchana.

Kutoka Google

Wateja
wanasema.

“My family and I loved everything about this restaurant. Their food was a solid 10/10, the service was great, staff were amazing and friendly. I will definitely be back!”

NNduta NdaruaLocal Guide

“I've always been curious to try their unique dish Mary Bonge and it turned out to be incredibly delicious.”

QQueenshola ChokalaLocal Guide

“I honestly loved the place, the food was a 12/10. I like the vibe of the chill restaurant and how friendly the staff was. It is family friendly.”

ggabbyGoogle

Umefurahia chakula?

Tuachie
nyota tano.

Scan kwa simu yako ukiwa mezani. Inachukua sekunde 20 na inawasaidia wengine kutupata.

Andika maoni Google
Scan mimi

@kitchenslayers_tz

Tufuate Instagram

Tembelea

Tupo
Mbezi Beach.

Mahali
Kivulini Plaza, kwa Zena, Mbezi Beach, Dar es Salaam
Saa za kazi
Kila siku kuanzia saa 5 asubuhi mpaka saa 3 usiku.
Delivery
0715 999 477

Bolt au Uber: andika KITCHEN SLAYERS KIVULINI PLAZA

Piga simu Agiza kwa WhatsApp